Sunday 17 February 2013

Hii ni ya kati safari ya Little Ruaha river ama Kikongoma kwa jina lingine, mahali hapa pia inasemekana mama yake Mkwawa alijitupa majini hadi leo hakupatikana kwa shinikizo la Shemeji yake Mkwawa MWAMBAMBE, kutaka utemi!!














 Hapa niko na Dr. Kisanga, Coordinator

No comments:

Post a Comment